Hasta 40% off y Envío a todo USA y PR por solo $2.99  Ver más

Enviar a
FL
0
  • argentina
  • chile
  • colombia
  • españa
  • méxico
  • perú
  • estados unidos
  • internacional

Selecciona tu país

América

Europa

Resto del mundo

portada Yesu wa Nazareti alikuwa nani?: Utoto na ujana wake (en Swahili)
Formato
Libro Físico
Autor
Idioma
Swahili
N° páginas
52
Encuadernación
Tapa Blanda
Dimensiones
17.8 x 12.7 x 0.3 cm
ISBN13
9783964462268

Yesu wa Nazareti alikuwa nani?: Utoto na ujana wake (en Swahili)

Gabriele (Autor) · Gabriele Publishing House · Tapa Blanda

Yesu wa Nazareti alikuwa nani?: Utoto na ujana wake (en Swahili) - Gabriele

Libro Nuevo Origen: Estados Unidos
Envío: 7 a 9 días háb.
$ 9.99$ 8.49
-15%
Libro Nuevo

Quedan más de 100 unidades

$ 8.49
Llega entre el 10 Ago y el 14 Ago a FL. Seleccionar ubicación

Reseña del libro "Yesu wa Nazareti alikuwa nani?: Utoto na ujana wake (en Swahili)"

Katika kitabu hiki, wafuasi wa Mnazareti wanahadithia historia halisi ya maisha ya Yesu wa Nazareti, inayojitenga kabisa na ufafanuzi wa tabaka la makasisi na ufafanuzi potovu wa wataalamu wa historia wanaoendelea kuandika, wanaotumikia kanisa au waliyoombwa na kanisa waandike vitabu kuhusu mada hiyo.Kitabuni humo mmeandikwa sehemu mbali mbali za ufunuo wa Kristo wa Mungu uliotolewa kupitia Gabriele, nabii wake, ambamo Peke yake Anatoa maelezoa kuhusu maisha yake duniani kama Yesu wa Nazareti.Sehemu: Wakati nilifikia umri wakuinukia, na nafsi yangu ilipotoka utotoni hadi ujana, Mungu akajifunua kupitia maono mengine (...) Kwa namna hiyo, nafsi yangu ikafunzwa upendo na rehema. Tayari ndani mwangu, mimi bado mtoto, mlikuwemo nguvu za kiroho ila kila mara nilikuwa nikizitumia vibaya. Mimi Yesu pia nilifunzwa kupitia makosa hayo. Sheria inasema: watu wote na nafsi zote zitaongozwa kupitia makosa na mapungufu yao hadi muda watakapoyatambua na kujirekebisha wao wenyewe.

Opiniones del libro

Preguntas frecuentes sobre el libro

Todos los libros de nuestro catálogo son Originales.
El libro está escrito en Swahili.
La encuadernación de esta edición es Tapa Blanda.

Preguntas y respuestas sobre el libro

¿Tienes una pregunta sobre el libro? Inicia sesión para poder agregar tu propia pregunta.

Opiniones sobre Buscalibre

Ver más opiniones de clientes